Nyumba inauzwa 0769973573 Bei milion 19 na laki 5 maongezi yapo Location dar es salaam chanika kalibu na barabara ya rami stend unaenda kwa mguu tuh wahi nyumba mpya Hina vyumba vitatu 3 vyakulala master Jiko na sitting room Inauwanja upo imepita barabara ya mtaa Gari adi uwanjani Huduma zote za kijamii zinapatikana jirani sana Maji yakuvuta yapo kalibu na nyumba umeme upo kama unavyoona katika picha Ote mnakalibishwa sana bado hipo mteja
TSh19