Inapangishwa Moshono arusha Ni nyumba mpyaaa Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master Ina makabati vyumbani Ina jiko lenye makabati ndo wanafunga Ina publc toilet Ina sebule na dairning Ina parking Inajitegemea Umeme na maji Wapangaji wawili tu Bei 300,000/=kwa mwez Call 0758105801/0693412119
TSh300,000