Nyumba mpya Inapangishwa njiro round about Ni nyumba inajitegemea Ni nyumba yenye room tatu za kulala moja master Ina sebule na jiko Ina public toilet na bathroom Ina parking Bei 350,000/= kwa mwezi Kodi ilipwe miezi sita Call 0758105801/0693412119
TSh350,000