Inapangishwa sakina arusha Ni nyumba classic Ni nyumba yenye room tatu za kulala moja master Ina makabati vyumbani Ina sebule kubwa Ina dairning kubwa Ina public toilet na bathroom Ina jiko lenye makabati na store Ina garden Ina parking kubwa sanaa Bei 400,000/=kwa mwezi Call 0758105801/0693412119
$400,000