Ni nyumba nzuri sana inapangishwa moshono maeneo ya Club D, nyumba ina sifa zifuatazo Ni selfu ya three bedrooms, ina master bedroom Nyumba ina kila kitu, unaenda na begi lako tu Nyumba ina jitegemea yenyewe ndani ya geti kubwa Nyumba ina mazingira mazuri sana parking ipo Umbali wake toka lami ni kama mita 500 hivi Kodi yake kwa mwezi ni 1500000/= =====> kuona nyumba service charge ni 10 Ukipenda camission ya Dalali mwezi moja According to Dalali +255753147673
TSh1,500,000