Inauzwa Nyumba inauzwa sanawari arusha Ni nyumba yenye room nne za kulala moja master Ina sebule kubwa na dairning Ina public toilet na bathroom Ina jiko lenye makabati Ina servant cotter mbili ya kwanza ni Chumba,sebule, choo,jiko Servant cotter ya pili ni chumba,choo,jik Ina parking Nyumba imezungushiwa ukuta Ukubwa wa kiwanja ni 35/18 See more
TSh130