Jamani simu yangu hii, samsung note 10, RAM 8 GB, storage 256 GB, bado ipo kwenye hali nzuri kama unavyoiona kwenye picha, Aya nimeipunguza bei, nipeni laki tatu na sabini (170k), wahi chap uichukue nina shida na hela, nipo kigamboni.
TSh370