Nyumba inapangishwa njiro veta Nyumba inajitegemea yenyewe Nyumba ina bedroom mbili za kulala kimoja master sebule choo jiko Nyumba ni safi ya kuhamia kabisa kuna security ya kutosha Maji hulipi usafi wa nje hausiki Unaweka umeme wako unahamia Ipo umbali wa mita 100 kutoka lami Piga simu kuona nyumba 0762838280 /0788464751
TSh500,000