Nauza simu Aina ya Tecno Camon 15 Premier na Storage ya 128Gb na ram 6Gb..simu haina mikwaruzo kwenye kioo na Ina Camera Safi yenye 64Mp na Pop Up Selfie Camera 32Mp..Battery Capacity ni 4000mAh inatunza sana... Bei ya simu ni Tsh.185,000/= NB; NI MALI HALALI YAKWANGU.....HAINA UDALALI karibuni Mawasiliano ni 0688184973
$185,000