Nauza boma la nyumba Milioni 12 mtaa wa mhandu kisiwani Mwanza ukubwa wa eneo miguu 20/20 eneo ni kubwa unaweza Jenga nyumba nyingine na frem za biashara mtaa ni mzuri umiliki halali mtaa wote wa mhandu kisiwani umepimwa karibu mteja Rocky City Mwanza contact call 0783230565 what's app 0689949412
$12,000,000