Nauza samsung galaxy a13 mpya sanaaaaaa.. Bei 245 sm tangu inunuliwe ina protector ko haina mkearuzo wala mchubuko... Nyuma ina kava lake mali n clean haswaaaaaaa... Betry 4500mah.. camera mp64 inapga vzur sanaaaaa.. Maelezo zaid inbox me.
$245