Nyumba inauzwa mil 75 location kigamboni mikwambe, kwa mawasiliano zaidi piga cm 0717090155. Nyumba zipo mbili kwenye fensi moja, nyumba kubwa inavyumba vi3 vya kulala ikiwemo master bedroom moja, seeting room, dinning room, jiko,choo na bafu za pamoja, nyumba ndogo inavyumba v2 vya kulala na seeting room na choo na bafu za pamoja, kwa maana hii See more
$75,000,000