0743514377 Gorofa inauzwa milioni 220 maongezi yapo ipo madale contena Gorofa imejengwa kwa mfumo wa apartments zipo nne ambapo kila apartment moja inavyumba viwili master bedroom sitting room kitchen and toilet pablic Na kila apartment ina balcony yake mbele na nyuma Ukubwa wa eneo ni SQMT 1312 document clean TITLE DEED (Hati miliki) Maji dawasco umeme vyote vipo Jengo lipo ndani ya fensi Umbali ni kilomita 1 tu kutoka barabara kuu ya madale road.Kwenye hili jengo ni familya nne zikaa
TSh220