Kiwanja pamoja na nyumba Vinauzwa. Gongo la Mboto, Mombasa, Mtaa wa Kota. Karibu na barabara ya Lami Kiwanja ni kikubwa sana Kinafaa kwa matumizi ya Apartments, shule, Nyumba ya kuishi, hospitali n.k. zaidi ya sqm 3000 Huduma za jamii zote zipo kama maji, umeme, n.k
FREE