Habari jamani nauza Mali izo Kuna kitanda 5/6 Cha sofa leza kipo vizuri 155,000 Kitanda 5/6 Cha chuma ni imara na kipo 155,000 Godoro 5/6 nch10 Qfl dodoma og 230,000 Godoro 4/6 nch6 Qfl dodoma 75,000 Kuna kitanda Cha mtoto kina godoro lake neti na ni chachuma imara na kina matairi 120,000 Kuna kioo kikubwa sana na imara fut 6 75,000 Na redio Boss kubwa 115,000 Mahali mbeya mjini airport ya zaman Hali ya hewa 0625710214
$4