Taa za solar (ceiling solar lights) ni taa za ndani zinazotumiwa kwa nishati ya jua. Hizi ni taa zinazofungwa kwenye dari ambazo zinaweza kuchajiwa na nishati ya jua wakati wa mchana, na kutoa mwanga wakati wa usiku. Taa za solar ni maarufu kwa sababu zinawezesha matumizi ya nishati mbadala na kuokoa gharama za umeme
TSh45,000