Nyumba (Apartment) Inapangishwa Ipo Maeneo Ya Tabata Kimanga Karibu Na Kanisa La Wasabato. Ni Ya Sebure Na Vyumba Viwili (Kimoja Master), Na Sehemu Ya Jiko. Huduma Za Umeme Na Maji Ni Za Kujitegemea (Self). Kwa Wenye Gari Sehemu Inafikika Na Parking Ipo Ndani Ya Geti. Kodi Ni Shilingi 250,000 Kwa Mwezi. Mwenye Nyumba Anapokea Kuanzia Miezi Minne (4) Hadi Sita (6). Kwa Mwenye Uhitaji Mawasiliano Ni 0718073691. KARIBUNI!
$250,000