Habari, Nauza Tv yangu mpya kabisa imetumika mwezi mmoja tu...nilikuwa naitumia SALOON, hivyo nimeuza vitu vyote imebakia hiyo TV ni inch 19 na ina kila kitu chake, Nauza 110,000/= TV hii inaweza kutumika nyumbani, Saloon, Pub ndogo, na kwenginepo...mtu serious anitafute tuma Mesaage NAITAKA then nitakutafuta....Nipo BUNJU "B"
TSh110,000