Samsung Galaxy A10 gb 16 ram gb 2 kipengele button ya kuwashia inaugum kidogo. camera kali betri inakaa sana na chaj android version 11 na kuendelea ina protector na sticker nyuma. bei yake 110000/= maongez yapo
TSh120,000