Nyumba ya vyumba nane inauzwa na eneo lake lenye ukubwa wa square meter 1900 sawa na nusu heka..nyumba ina vyumba nane kila chumba kina sebule yake..ipo kakikati ya mji wa mlandizi..ukifika mlandizi unaingia mtaa wa mbagala, Nyumba haijakamilika kama unavyoona ila ni kubwa sana na eneo ni kubwa huduma zote zinapatikana.maji na umeme,shule,hospitali,bank,sheli kila kitu kipo karibu..eneo ni kubwa sana na document zipo zote..ukihitaji nipigie 0743226841 au 0682285742
FREE