Scorpion 5.0 bluetooth headset HOT SALE Inakaa na charge masaa 200 ikiwa ON Inapiga mziki masaa 12 mfululizo Simu unaongelea masaa 15 mfululizo Ina stable connection haikati connection Inafaa kwa matumizi ya kupokelea simu na ukiongea unasikikaa vizuri kabisa Ina connect Iphone,Android, laptop, tablet Kama una simu mbili zote zina See more
TSh35,000