Inatumia umeme mdogo sana. Inagandisha kwa Haraka sana Inatunza ubaridi kwa muda mrefu sana umeme ukikatika. Haimwagi maji ndani umeme ukikatika Litre 125 warranty miaka mitatu Tunapatikana Kariakoo mtaa wa ndanda na tandamt Dsm Dsm Free Delivery na malipo baada Ya kupokea mzigo wako 0742491916 Whatsap 0654348484
TSh490,000