Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa vyumba 3 kimoja Master sebule dining jiko store public toilet, ukubwa wa kiwanja 20/25, ipo Kishiri Mwanza, Bei Mil 38
TSh38