Nauza Kijengo kidogo na kiwanja chake SQM 1000. Kiwanja kipo Bagamoyo Kiromo. Eneo zuri sana Kwa kuishi, ufugaji na bustani za miti ya matunda. Umbali toka barabara kuu ni KM 2.5. Umeme na maji ya Dawasa yapo jirani. Shimo la choo tayari limeshajengwa.
$7,900,000