TOYOTA SIENTA FOR SALE. Gari haijawahi kurudiwa rangi gari haijawahi kupata ajali gari imetunzwa vizuri mint condition haijawahi kuguswa engine wala kufunguliwa gear box ipo vizuri inabadilisha gear kwa wakati, gari ina siti saba haina changamoto ya aina yoyote. Kwa mawasiliano zaidi 0714032746 (call/Text/WhatsApp)
FREE