Nimeinunua tangu mwaka 2021 hadi sasa dereva ananisumbua nnaiuza haina tatizo lolote maana kaitunza vizuri tu kama unavyoiona na bado inafanya kazi
$3,600,000