NYUMBA MBILI KWENYE KIWANJA KIMOJA ZINAUZWA MUSOMA MJINI MTAA WA BWERI KARIBU NA STAND KUU.NYUMBA MOJA INA VYUMBA vitatu vya kulala ila viwili ni self,jiko la ndani,tiles,gypsum board,dirisha la kioo.Nyumba ya pili haijaisha ila ina chumba na sebule mara mbili zote ni self na jiko ndani.Bei ni milioni 35 ila mazungumzo yapo.Simu 0765570894
$35