Nauza laptop ya Lenovo Thinkpad T470 Corei5 HDD 500GB RAM 8 expandable mpaka 16GB Ina WiFi na Bluetooth Screen ni ya touch Ina front camera Chaji masaa 4hours Na adaptor yake ipo Condition clean haina shida yoyote
$300,000