Nauza samsung A53 kalii cm bado mpya nina tatizo bila ivyo nisingiuza cm kali sanaa naiza laki mbili tu kila kitu kipo ok fingerprint ipo ok niyakwenye kioo inakaa na chaji mnoo maelezo mengine utayapata ukiiona simu nakuikagua pia
$200