Tunauza viwanja chanika homboza wateja zangu mladi huu wa viwanja chanika homboza ni mpya pg sm 0672747232 sifa za mladi huu viwanja vinaukubwa wa 20 kwa 20 bei milioni 1.7 magali ya moja kwa moja mpaka kaliakoo yapo huduma zote za kijamii zimefika mteja usipazalau omboza ophici zetu zipo chanika mwisho kalibuni saana wateja zetu ophici zetu zipo kishelia mteja kuwa na amani uaminifu ndio kauli mbiu tunawapenda wateja zetu na kuwalinda kwenye mladi wetu tunauza viwanja kishelia zote
TSh1,700,000