NYUMBA NYUMBA INAUZWA nyumba anauza dadaangu ipo kwenye fensi ndani kuna nyumba mbili Kubwa ya vyumba vitatu viwili master kimoja single Nyumba ina ac vyumba vyote jiko la kisasa store dining na sebule kubwa Nyumba ndogo ina vyumba viwili jiko choo sebule na store pia full ac Anauza vyote kwa ujumla 145m maongezi Nyumba ipo Africana sec school Umbali kutoka barabara ya lami ni mita 50 tu 0789200764// 0757455444// 0682287760
FREE