Mabanda yapo manne, kila Banda moja Lina chumba kimoja cha kulala, yote yanauzwa kwa shilingi milion 17 tu. Mabanda yapo kigambon darajan, yapo karibu na baharin na daraja la kigambon, uwanja wake una ukubwa wa mita 16 kwa 13. Uwanja umebaki wa kujenga nyumba nyingine gari inafika mpk apo. 0763282680
TSh17,000,000