Nauza sm yangu aina ya google pixel 6proo... Ina ram12.. machine iko sawa kila kitu, ila ina creki kdogo kama unavoona kwenye picha hapo chini nipe offer yako... Xchange nafanya na unaongeza hela au kulingana na sm yako... N:b sm yangu haisumbui chochote, finger print ipo kwenye kioo... Njoo umilk kilchobora.. mteja serious nichek inbox
$1