Kwa anae taka vyumba singo kali napangisha chumba bado kipyaaa yani nyumba bado ni mpyaaa na wapangaji mtakua wanne(4)tu ila choo mnashea watu watatu(3)tu na nyumba ipo kwenye fensi Location Chumba kipo Temeke Yombo Machimbo ya Mwisho wa Lami karibu na Buza au Lumo njia ya kuelekea abiola.
TSh70,000