Aquos sense 5g

hii simu ilianza nkitumia ikipata moto inasema simcard removed baadae ikaja nkiwasha data tu hata ikiwa yabaridi inaandika simcard removed ukiacha ikae kama Dak 10 ukiwasha bila kuwasha data inafanya kazi fresh unapiga simu na kutuma text ila ukiwasha data tu kosa.....wakuu niifanyaje Nb Sina maana zotee ziko hivi kuahiribu biashara za watu natafuta solution

FREE

seller's name'
Name: Nerry K
seller phone number
Location: Dar es Salaam
uploaded on
Date: 10 December, 2023

Contact Seller