Samsung galaxy A13, memory 128 GB RAM 4GB, nzima na uzima wake haina kasoro yoyote hizo clerks zipo kwenye screen protector, inakaa na chaji muda mrefu, kamera kali, kila kitu Bien. Karibu whatsapp namba wa.me//255628689016 tumalize biashara
TSh250,000