Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa kibaha picha ya ndege mkoani Pwani kilometa 1 kutoka barabarani ambapo gari inafika mpaka mlangoni inasifa zifuatazo Eneo lake linaukubwa wa Sqm 3220, 70 kwa 46 Ina vyumba vinne vyote master, sebure, jiko nje inastore ambayo haijaisha bado Maji yapo yanaflow mpaka ndani umeme pia Umiliki hati ya nyumba ipo Bei More
$250