Kwa madalali wote

Assalam Alaykum. Atayekubaliana atamsaidia muuzaji na atayekataa atakuwa anamfanyia makusudi muuzaji na kuzidi kumkwamisha . Ni hivi dalali unapewa gari uuze tena katika kipindi kama hichi mwisho wa mwaka boss anakwambia nataka ada na ukifanikisha kuuza kwa bei nnayotaka nakupa chako. Lakini unafanya tamaa unagoma bila cha juu mteja akitoa ofa kwa bei ya boss unakataa dalali huuzi bila cha juu chako wakati una juwa fika boss kule kakwama. Wafikirieni watu wamekwama wanaamua kuuza baadhi ya mali zao.

TSh1,234,567

seller's name'
Name: UZA
seller phone number
Location: 211
uploaded on
Date: 25 December, 2023

Contact Seller

Loading recommendations...