Nyumba inauzwa Kibaha picha ya ndege mkoani Pwani kilometa 1 kutoka barabarani ambapo gari linafika mpaka mlangoni inasifa zifuatazo Eneo lake linaukubwa wa Sqm 500, 20 kwa 25 Inavyumba 3 kimoja master sebure dinning jiko store public toilet Umiliki hati ya serikali ya mtaa Bei mil 50 maongezi yapo Service charge elfu 20 t Njoo ujionee mwenyewe ukiridhika ununue mjengo fanya maamuzi sasa heshima nikuwa na kwako Piga namba 0689530463,0778079319
$50