Unaweza kusaidia kituo cha watoto wenye ulemavu wa akili kwa kununua calendar, calendar ni TSH 20,000 utakuwa umesaidia mahitaji ya kila Siku kwa watoto. Kwa wateja wa Moshi ni free delivery Number 0744666617 N.b just consider as charity not a business Your support is mostly valuable
$10