Samsung s8 plus ina cracks nyuma na mbele kidogo kioo kinasumbua lakin kinafanya kaz vizur tu kuna kitu unafanya nakutumia haina sim card plate njoo na 100,000 nikupe simu kama unakioo njoo uchukue kama unataka kutumia pia poa..
TSh100,000