Eneo kubwa linauzwa liko Arusha Kisongo, Waya. Lina ukubwa wa square meters 3208. Umbali wa MITA 200 toka barabara kubwa ya lami ya Dodoma Arusha. Katika eneo kuna nyumba iliyojengwa ya muangalizi wa eneo ambayo ina room 2 za kulala, choo, subule, jiko nadinninga na kuna huduma zote za umeme na maji ndani ya eneo katika nyumba hiyo. Pia Kuna kisima kikubwa kimejengwa cha kuhifadhi maji kwa upande wanyumawa nyumba. Eneo lote imezungushwa ukuta na iko barabarani kabisa. Namba ya mawasiliano ni 0783840164
FREE