Nyumba inauzwa ipo kibaha visiga madafu mkoa wa pwani Kwa samani ya milioni 85 nyumba imekamilika Kila kitu fika uione ukipendezewa nayo biashara ifanyike umbali ni mita 200 kutoka morogoro road, mawasiliano ni 0629597935
TSh85