Nyumba inauzwa Kibaha picha ya ndege mkoani Pwani kilometa 1.5 kutoka barabarani ambapo gari linafika mpaka mlangoni inasifa zifuatazo Eneo lake linaukubwa wa Sqm 1800, 30 kwa 60 Inavyumba 3 viwili master sebure dinning jiko store na public toilet Ndani na nje inahitaji finishing tu Umeme na maji yapo masaa 24 inaeneo lakutosha unaweza kujenga More
$60