Chupa za kisasa zenye thermometer screen ambayo ni touchscreen inayokuonyesha joto la kinywaji ulichoweka kwa muda huo. Zina vacuum flask inayolinda na kuzuia kupotea kwa joto. Zinahifadhi vinywaji vya aina zote vya baridi na moto na zinatunza joto kwa muda wa masaa 12. Zipo design tofauti tofauti na za kuvutia. Bei chee sana bei ya kiwandani. Karibuni sana dukani kwetu
TSh15,000