Nyumba inapagishwa kibaha picha ya ndege mkoani Pwani kilometa 2 kutoka barabarani gari inafika mpaka mlangoni nasifa zifuatazo Inavyumba 2 kimoja master sebure dinning jiko store public toilet Maji yanaflow ndani inajitegemea yenyewe Ina fensi yake kasoro geti tu Inaeneo lakutosha unaweza fuga au kulima chochote Kodi kwa mwenzi ni laki 150k inalipwa kuanzia miezi 4 nakuendelea mwezi mmoja wa dalali Njoo ujionee mwenyewe ukiridhika ufanye maamuzi sasa Piga namba 0689530463,0778079319
$150