Mashuka Mazuri ya aina tofauti na Rangi tofauti. Hayachuji wala kutoa rangi wala Kutoa PELE PELE. Ni mtumba Grade one (1) MALIPO: Shuka 1 Foronya 2 - 25,000 AU: Shuka 2 Foronya 4 - 50,000 BONUS: Ukichukua kuanzia pair 3 bei 45,000 PIA: Tunauza jumla na rejareja, robo balo 212,000 pair 6 Nusu balo 425,000 pair 12 Balo zima 850,000 pair 24 - 25
TSh50,000