SELLER LISTING
Price: Contact Seller
TOYOTA CELICA TZS 691 DNW gari la michezo, kali na lenye mvuto wa kipekee Muonekano wake wa sporty look na bodykit kamili unalifanya liwe standout barabarani. Engine ya 3S-GE inatoa nguvu safi huku transmission ikiwa laini kwa raha ya kuendesha. Model: 1994 Engine: 3S-GE See more
Private Seller: Baraka S.