Elia E. Listings

  • product image

    HYDRAFORM INTERLOCK BLOCK

    Price: FREE

    Jenga kwa interlock block tofal ambayo inajengwa bila udongo wa kujengea yaani mortal joint Bei ya tofal 1=700 ninafyatulia site kwako wewe utaniandalia maji tu material mengne nitafatilia mwenyewe Hizi ndio zile tofali ambazo hazihitaji plaster ndani wall nje Nje ya mkoa wa Dar es Salaam kaz ianzie tofal elf 10 idadi hii inaweza kujenga nyumba ya wastan yenye vyumba vi tatu ya kisasa Zaid tuwasiliane kwa 0693079810 ipo WhatsApp pia

    Private SellerPrivate Seller: Elia E.

    110 110 |
    View Listing →