Nauza nyumba self ya bedroom tatu za kulala kila kitu moshono sio mbali na
Price: TZS65
Nyumba self ya bedroom tatu za kulala seble dining,jiko store ni ya kumalizia finishing ipo moshono,kiwanja kina mita 1530,kutoka barabara ya moshono ni mita 120 hadi kwenye nyumba bei ml 65, inapungua kidogo. piga cm no 0743178888
Private Seller: Fejoh N.